Song lyrics Wale Watu by Khadja Nin

Tags:
Lyrics
Swahili
Send to a friend |
Rate the quality of this lyrics
Wait a moment...
Rating: 3.00/5. Total votes: 1

Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku


Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala

Taken from AlbumSongAndLyrics.com
Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku


Other songs by Khadja Nin


Song Scroller

This lyrics | Lyrics
 
Background Color


Font Color

Copy this code and paste it into your website or blog to show the song-scroller of Album Song and Lyrics